Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Maafisa wa Mahakama mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, ameshiriki kikao cha Kamati ya Maadili ya Maafisa wa Mahakama ngazi ya mkoa cha robo ya kwanza ya mwaka 2024/2025.
Katika kikao hicho, Kanali Abbas amewataka maafisa wa Mahakama kuhakikisha wanashughulikia changamoto zinazojitokeza kwa maafisa wa Mahakama wakiwemo Mahakimu kwa njia ya kawaida ili kuleta imani kwa watu na kuwasisitiza umuhimu wa kumrekebisha mtu kwa kumfundisha na kumuelekeza.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.