• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RC RUVUMA ashuhudia utiaji saini mkataba ujenzi wa visima

Imewekwa kuanzia tarehe: February 11th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa visima kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji ambapo kwa awamu ya kwanza, halmashauri 4 za mkoa wa Ruvuma zitanufaika na mradi huo.

Akitoa taarifa katika hafla ya utiaji saini iliyofanyika Kata ya Subira, Manispaa ya Songea, Mhandisi wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Mkoa wa Ruvuma, Lucia Chaula, amesema mradi huo wa uchimbaji visima vya umwagiliaji utaanza na halmashauri za Namtumbo, Madaba, Halmashauri ya Mbinga Vijijini, na Manispaa ya Songea.

Mhandisi Chaula ameeleza kuwa lengo la uchimbaji wa visima hivyo ni kupambana na mabadiliko ya tabianchi na kuhakikisha wakulima wanaweza kuendelea kulima muda wote bila kutegemea mvua ambapo zaidi ya wakulima 540 watanufaika na visima hivyo, na zaidi ya ekari 760 zitatumia visima hivyo.

Akizungumza katika hafla hiyo, Kanali Ahmed amesema fedha nyingi zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya mradi huo zinatarajiwa kuzaa matunda hivyo amesisitiza kuwa kazi hiyo inapaswa kufanyika  kwa kasi, uaminifu, viwango na kwa ubora uliokusudiwa.

Amebainisha  kuwa miradi hiyo ya uchimbaji wa visima ambayo itagharimu zaidi ya shilingi milioni 518 katika mikoa mitatu ya Njombe, Songwe, na Ruvuma ni uwekezaji endelevu wa Serikali katika kuhakikisha inapambana na changamoto za mabadiliko ya hali ya hewa.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa kampuni ya M/s MNFM Construction Co, S.L.P 634 Iringa, Mubarak Ngwada, amehaidi kufanya mradi huo kwa kiwango kinachostahili, hivyo wanahitaji ushirikiano wa wenyeji wa Kata ya Subira ambapo mradi huo utatekelezwa katika manispaa ya Songea ili waweze kukamilisha mradi huo kwa wakati.

Mradi huo wa ujenzi wa visima vya umwagiliaji wenye thamani ya milioni 518,728,000 unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 6 (siku 180), na mkataba huo unajumuisha mikoa mitatu ya Songwe,Njombe na Ruvuma, ambapo kisima kimoja kitahudumia ekari 40 kwa wastani wa 2.5 kwa kila mkulima na kutimiza idadi ya wakulima 16 kwa kila kisima.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.