Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amekagua eneo la ujenzi wa bandari kubwa ya Mbambabay ziwa Nyasa ambapo serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetoa fedha taslimu shilingi bilioni 81 kutekeleza mradi huo unaofanyika kwa mkataba wa miezi 24
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.