• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RC Ruvuma atembelea Hifadhi ya Matogoro

Imewekwa kuanzia tarehe: August 12th, 2022

MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas ametembelea hifadhi ya Milima ya Matogoro.

Thomas katika ziara hiyo  amekagua  mlango wa kuingilia uliogharimu zaidi ya Shilingi 200.

Mkuu wa Mkoa amesema wananchi ni sehemu ya uhifadhi hivyo wasichome moto misitu ni urithi.

Mkuu wa wilaya ya Songea Pololeth Mgema  amesema hifadhi ya milima ya Matogoro ni ya mda mrefu na haijawahi kuwa chanzo cha mapato kwasababu haikuboresshwa.

Amesema ujenzi wa Mlango wa Kuingilia pamoja na Barabara  utasababisha kufikika mpaka Juu pamoja na kuongeza thamani ya Hifadhi.

Mgema ameishukuru Serikali kwa kuleta fedha alizotoa shilingi milioni 200 ya kuongeza thamani ya hifadhi ya Milima ya Matogoro.

“Tunaishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutuletea fedha ambayo imesababisha kuongeza thamani ya hifadhi”.

Amesema Majira wa milima hiyo wanafanya shughuli mbalimbali za kijamii zinasababisha athari ya hifadhi ikiwemo kilimo ikiwa kisheria wanakwenda mpaka kwenye kingo cha mto wanasababisha kukausha vyanzo vya Maji.

Mgema ametoa rai kwa wananchi wanaoishi katika maeneo hayo watambue kuwa hifadhi ya Mlima ya Matogoro ni yao na inasababisha kuhudumia Wilaya ya Songea katika Swala nzima la Maji.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka kitengo cha mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Agosti 12,2022 

 

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.