Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amekipongeza kikundi cha sanaa cha Nyota ya Ruvuma kilichopo wilayani Namtumbo ambacho kilitoa burudani ya kupendeza kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya familia duniani ambazo kimkoa zimefanyika kijiji cha Suluti wilayani Namtumbo na kuhudhuriwa na wawakilishi kutoka wilaya zote tano za Mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.