Maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yamefanyika mkoani Ruvuma kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas.
kuzindua bweni la wasichana lililogharimu shilingi milioni 110 na lenye uwezo wa kulaza wanafunzi 74 katika shule ya sekondari Chabruma Manispaa ya Songea
Mkuu wa Mkoa pia akiwa katika shule hiyo ameongoza zoezi la upandaji miti ambapo zaidi ya miti 530 imepandwa katika shule hiyo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.