Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezindua mradi wa kutatua migongano baina ya binadamu na wanyamapori katika ukanda wa Ruvuma ambapo Wizara ya Maliasili na utalii imeingia mkataba kwa kushirikiana na Shirika kutoka nchini Ujerumi la Deutsche Gesellschaft fur Internationale Zusammenarbeit (ZIG).
hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Songea uliyopo Mjini Songea Mkoani Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.