Pichani kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akizungumza na wananchi wa Kata ya Tuwemacho Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa sekondari mpya ya Kata hiyo ambapo serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 560 kutekeleza mradi huo unaotarajia kuanza kuchukua wanafunzi wa kidato cha kwanza Januari 2024.
Kukamilika kwa ujenzi wa sekondari hiyo kunakwenda kumaliza changamoto ya wanafunzi wa Kata hiyo kusafiri kıla siku umbali wa kilometa 30 kufuata sekoondari
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.