MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas Septemba 22 mwaka huu anatarajia kuzindua mpango mkakati wa utalii mkoani Ruvuma ambapo wadau mbalimbali wa maendeleo na utalii kutoka Halmashuri na wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma wamealikwa kwenye uznduzi huo unaotarajiwa kufanyika mjini Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.