Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas Machi 8,2023 atakuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya kilelle cha siku ya wanawake duniani ambako katika Mkoa wa Ruvuma maadhimisho hayo yanafanyika kwenye viwanja vya bandari mjini Mbambabay wilayani Nyasa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.