Kushoto ni Meneja Mradi wa Kampuni ya MANTRA TANZANIA Beria Voster akitoa maelezo ya kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed kuhusu utekelezaji wa mradi wa uzalishaji uranium eneo la Mkuju wilayani Namtumbo,kulia aliyeshika glasi ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed.
Picha ya chini Meneja Mradi wa Kampuni ya MANTRA TANZANIA Beria Voster akitoa maelezo ya uzalishaji wa uranium eneo Mgodi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.