Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akizungumza baada ya kutembelewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana na Wenyeulemavu Profesa Joyce Ndalichako hayupo pichani ofisini kwake mjini Songea.
Profesa Ndalichako yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi pamoja na mambo mengine anafuatilia changamoto za wastaafu mkoani Ruvuma
Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.