Pichani kulia ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akimpokea aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ambaye amehamia Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed.
Makabidhiano rasmi ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa kati ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma aliyehamia Kanali Ahmed Abbas Ahmed yamefanyika leo mjini Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.