Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewaagiza wananchi wote kupanda miti mara mvua zitakapoanza kunyesha ili kulinda mazingira kwa kizazi cha sasa na kijacho.
Kanali Thomas alitoa agizo hilo hivi karibuni baada ya kukagua msitu wa Wino Halmashauri ya Madaba unaomilikiwa na Wakala wa Misitu Tanzania TFS.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.