Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewaongoza Wananchi wa Kijiji cha Kipapa wilayani Mbinga kwenye zoezi la upandaji miti 500 ya matunda katika Shule ya msingi ya Kipapa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mji ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.