Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ametangaza rasmi vita dhidi ya mimba za utotoni ili kumlinda mtoto wa kike aweze kutimiza ndoto zake.Kanali Thomas ametangaza vita hiyo wakati anazungumza kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya llishe ambayo kimkoa imefanyika Manispaa ya Songea ukumbi wa sekondari ya Songea Girls.Maadhimisho hayo yamehudhuriwa na wadau kutoka Wilaya zote tano za Mkoa wa Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.