MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Labani Thomas ametembea mradi wa Nyumba ya Mkuu wa Mkoa inayojengwa kwa shilingi mioni 700.
Mradi huo unatekelezwa kwa force account ambapo fundi anayetekeza mradi huo ni Henrick Kiwili anatekeleza kwa zaidi ya Shilingi milioni 56 ikiwa maji taka unatekelezwa na taasisi ya SOWASA kwa zaidi ya shilingi milioni 4 na mfumo wa umeme ni taasisi ya TEMESA milioni 12.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.