Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas(mwenye Kofia) akimsilikiza Diwani wa Kata ya Majengo Mhe, Husein Abdikarim akitoa maelezo kuhusu hali miundombinu ilivyo kwasasa katika soko la Majengo lililopo Manispaa ya Songea ambalo linatumiwa na Wafanyabiashara wadogo wadogo
Kanali Thomas amfenya ziria ya kutembelea na kukagua soko hilo pamoja na kuwasikiliza wafanyabiashara ikiwa ni sehemu ya mfululizo wa ziara zake za kikazi ya kukutana na makundi mabalimbali kwa lengo la kusikiliza kero na maoini ilikuweza kuzitatua changamoto zao
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.