Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akizungumza mara baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa barabara ya lami Kitai-Lituhi ambapo Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi bilioni 60 kujenga barabara ya lami yenye urefu wa kilometa 35 kutoka Amanimakoro hadi Ruanda Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.
Tayari serikali imetoa fedha za kujenga barabara ya lami yenye urefu wa kilometa 40 kati ya kilometa 82 toka Kitai hadi Lituhi.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.