Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezindua madarasa mawili ya awali katika Shule ya Msingi kipapa iliyopo kijiji cha Kipapa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji ambapo hadi kukamilika kwake yamegharimu kiasi cha shilingi milioni 40 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.