UTAFITI umebaini kuwa robo tatu ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma ni hifadhi ikiwemo eneo la pori la Akiba la Selous (Hifadhi ya Taifa ya Nyerere) na kwamba katika shoroba inayounganisha Selous na Niassa nchini Msumbiji kuna hifadhi tatu ndani ya Wilaya ya Namtumbo ambazo ni Mbarang’andu, Kisungule na Kimbanda.
Wilaya ya Namtumbo inahusika katika mradi mkubwa wa umeme wa Rufiji ulioanza kutekelezwa na serikali ya Awamu ya Tano na kuendelezwa na serikali ya Awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa sababu Mto Luegu unaonzia Wilaya ya Namtumbo unachangia asilimia 19 ya maji katika Mto Rufiji.Wilaya hiyo ina kazi kubwa ya kulinda vyanzo vya maji vya mto huo ili mradi wa umeme Rufiji uwe endelevu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.