• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RUVUMA imetekeleza mradi wa EP4R uliogharimu zaidi ya Shilingi bilioni 6

Imewekwa kuanzia tarehe: September 12th, 2022

 MKOA wa Ruvuma umetekeleza miradi ya EP4R awamu ya 9 na ujenzi wa Vyoo vya kisasa kwa bajeti ya mwaka 2020/2021.

Akizungumza Afisa Elimu Mkoa wa Ruvuma Hakimu Mafuru Ofisini kwake amesema Serikali katika kuhakikisha inapunguza Changamoto za Miundombinu ya Shule za Msingi na Sekondari hadi kufikia octoba 2020 Mkoa ulipokea  zaidi ya Shilingi bilioni 6 kupitia mradi wa EP4R awamu ya 8.

Mafuru amesema kati ya fedha hizo kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 700  kwaajili ya ukarabati wa Shule kongwe ya Tunduru Sekondari.

Amesema Miundombinu mingine iliyojengwa  ni ujenzi wa vyumba vya Madarasa matundu ya vyoo,mabweni,mabwalo na majengo ya utawala.

Hata hivyo amesema pamoja na utekelezaji wa miradi hiyo Mkoa ulipokea zaidi ya shilingi bilioni moja kutoka Serikalini kwaajili ya Ujenzi wa Vyoo bora vya kisasa vya wanafunzi na walimu kupitia mradi wa SWASH(Shool water,sanitation and Hygiene) ambapo jumla ya vyoo 60 vyenye matundu 800 vimejengwa.

Afisa Elimu amesema kwa mwaka wa fedha 2019/2021 Mkoa kupitiia Halmashauri zake umepokea kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni sita kutoka hazina kwaajili ya ukamilishaji wa maboma ya vyumba vya Madarasa ujenzi wa matundu ya vyoo pamoja na ukamilishaji wa vyumba vya madarasa   Shule za Sekondari na Msingi.

Amesema Sera ya utoaji wa  Elimu bila malipo inaendelea kutekelezwa ambapo kwa kipindi cha mwezi Julai 2021 hadi Novemba 2021 Mkoa umepokea kiasi cha zaidi ya ya shilingi bilioni 2 zimesaidia katika uendeshaji wa Shule na kuboresha na kuimarisha ufundishaji.

“Mkoa kwa kushirikiana na Halmashauri zake unaendelea kufuatilia na kutekeleza kwa ufanisi utoaji wa Elimu bila malipo ili fedha ya Serikali inayowekezwa iweze kutoa matokeao chanya katika kuongeza ufaulu wa wanafunzi”.

Mafuru amesema Mkoa umekuwa ukishirikiana na wadau mbalimbali katika kusukuma gurudumu la  la maendeleo ya Elimu,katika kusaidia na uboreshaji wa mazingira ya ujifunzaji na kufundishia.

Amesema Mkoa unatambua jitihada za wadau kwa mwaka 2020/2021 wametoa zaidi ya shilingi bilioni moja kwaajili ya ujenzi na uboreshaji wa miundombinu,huduma ya chakula Shuleni,vifaa vya TEHAMA .

“Mkoa unatambua asasi  na mashirika kama vile Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO),Benki ya NMB,Tanzania Project,Kalamu Education Foundation,Sociol Action Trust Fund(SATF),Tanzania Mssion to the poor and Disable(PADI),Research Triangle Institute(RTI)”.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Septemba 13,2022.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.