Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr.Jairy Kanga ametoa rai kwa wananchi mkoani Ruvuma kutumia mbinu zote zilizotolewa na wataalam wa afya katika kuchukua tahadhari na kujilinda dhidi ya maambukizi ya wimbi la tatu la virusi vya corona ambapo hadi sasa nchi jirani tayari zimeingia katika wimbi hilo.Tazama habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=wopVfbbBCcQ
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.