• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

RUVUMA yaongoza tena kitaifa

Imewekwa kuanzia tarehe: June 2nd, 2022

Jumla ya watoto 12,131,049 sawa na asilimia 117.8 wamepatiwa chanjo ya matone dhidi  ya ugonjwa wa Polio kwa watoto chini ya miaka mitano kati ya watoto 10,295,316 waliolengwa kwenye kampeni ya Chanjo iliyofanyika nchini tarehe 18 hadi 21 Mei mwaka huu.

Hayo yamebainishwa leo na Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu wakati akitoa tathimini ya kampeni ya chanjo ya matone dhidi ya Ugonjwa wa Polio kwa watoto chini ya miaka mitano nchini kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.

Waziri Ummy amesema idadi hiyo iliyofikiwa ni mafanikio makubwa kama nchi na kutoa pongezi kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya,Timu za uendeshaji wa huduma za afya ngazi ya Mikoa na Halmashauri ,watumishi wa afya pamoja na wadau mbalimbali wakiwemo wadau wa maendeleo kwa kusimamia kikamilifu maandalizi ,uzinduzi na utekelezaji wa kampeni katika maeneo yao kwa umahiri mkubwa.

"Nawapongeza pia wazazi na walezi wote kwa kuitikia wito wa Serikali kwani afua ya chanjo ni muhimu kwa watoto katika kuwalinda dhidi ya magonjwa yanayo zuilika kwa chanjo".

Waziri Ummy aliutaja Mkoa wa Ruvuma umeongoza kwa kuvuka lengo kwa 131%, ikifuatia na Shinyanga 128%, Rukwa 123%, Pwani 122%, Arusha 122%, Mbeya, Geita, Dar es Salaam na Simiyu yote ina 121%, Singida, Dodoma na Tabora 118% , Kigoma, Njombe, Katavi 117%, Morogoro 116%, Mara, Mtwara, Lindi na Tanga  115%, Kilimanjaro na Mwanza 114%, Manyara na Iringa 113%, Songwe na Kagera 111%.

Hata hivyo Waziri Ummy ametoa wito kwa Viongozi,wadau na wazazi kutoa ushirikiano kwa kampeni zinazofuata ambazo zinatarajiwa kufanyika mwezi Julai na Agosti mwaka huu.

Ameongeza kuwa tunayo kila sababu ya kuilinda nchi yetu na watoto wetu dhidi ya ugonjwa wa Polio.'Mzazi/Mlezi hakikisha watoto wanapata chanjo ya Polio,bado tunaweza kutunza rekodi ya Tanzania kuwa nchi isiyokuwa na ugonjwa wa Polio duniani.

Kampeni ya Polio inatakiwa kufanyika kila baada ya wiki nne ili kuhakikisha watoto wote wanafikiwa kulingana na mwongozo wa WHO wa kukabiliana na ugonjwa wa Polio unaelekeza kuwa endapo mlipuko wa ugonjwa umetoke nchi  ambayo mlipuko umetokea pamoja na zile zinazozunguka zinapaswa kufanya kampeni za kutoa chanjo ya polio mara nne mfululizo pamoja na kutoa chanjo kwa watoto wote walio chini ya miaka mitano ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya ugonjwa huu.

Imeandikwa na Catherine Sungura w Wizara ya Afya 

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MBUNGE Kawawa aleta neema Namtumbo

    May 11, 2025
  • KIONGOZI Mwenge wa uhuru ashiriki upandaji miti Songea

    May 11, 2025
  • MWENGE wa uhuru waweka jiwe la msingi shule ya amali Songea

    May 11, 2025
  • MWENGE wa uhuru wazindua jengo la EMD Peramiho

    May 10, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.