MIAKA MIWILI YA RAIS DKT SAMIA YAONGEZA MAJI VIJIJINI
Kulingana na Sensa ya mwaka 2022, Mkoa wa Ruvuma una jumla ya watu 1,848,794.
Inakadiriwa watu 1,005745 kati 1,479,036 wanaoishi vijijini wanapata huduma ya maji safi na salama.
Lengo la Mkoa wa Ruvuma kuhakikisha asilimia 85 ya wakazi washio vijijini kupata huduma ya maji safi na salama.
Mkoa wa Ruvuma una jumla ya vijiji 551.
Takwimu za RUWASA zionesha kuwa Vijiji 355 kati ya vijiji 525 vinavyohudumiwa na RUWASA vinapata huduma ya maji na vijiji 170 havina huduma ya majI.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.