WAZIRI Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ameahidi safari ya kwanza ya Kampuni ya Ndege za ATCL inatarajia kutua katika kiwanja cha Ndege cha Songea Januari 15 mwaka huu.Majaliwa ametoa ahadi hiyo mjini Tunduru wakati anazungumza baada ya kupokea taarifa ya shughuli za maendeleo Mkoa wa Ruvuma iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme siku ya kwanza ya ziara ya kikazi ya Waziri Mkuu katika Mkoa wa Ruvuma.Ziara hiyo imeanzia wilayani Tunduru na inatarajia kukamilika Januari 6 mwaka huu.TAZAMA habari kwa kina hapa https://www.youtube.com/watch?v=fAOBMrFT4m8
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.