• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

SAFARI za anga za Songea zinavyochochea Uchumi wa Manispaa ya Songea

Imewekwa kuanzia tarehe: October 20th, 2023

Mkoa wa Ruvuma umefumguka kupitia usafiri wa anga ambao umekuwa chachu katika kuleta fursa mbalimbali za maendeleo

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema Serikali kupitia Shirika la Ndege(ATCL) na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imetoa kiasi cha fedha  bilioni 37 kwa ajili ya ukarabati kiwanja cha ndege kilichopo Manispaa ya Songea.

Amesema fedha hizo zimetumika katika ukarabati na  upanuzi wa barabara ya kurukia ndege kutoka mita 1600 hadi mita 1860, ujenzi wa jengo la kuongozea ndege (control Tower),taa za kuongozea ndege na uzio wa usalama.

Hata hivyo amelitaja  lengo kuu la Serikali kuwa  kuwezesha uhakika wa usafiri wa anga utakao kuwa wa kisasa iwenye uwezo wa kutua ndege kubwa ya abiria wengi kwa mara moja .

Amesema kukamilika  kwa uwanja huo kutaleta hamasa za uwekezaji  pamoja na kutangaza vivutio vya utalii mbalimbali  vilivyopo Mkoani Ruvuma ikiwemo Makumbusho ya Taifa ya Majimaji,ziwa Nyasa,Mto Ruvuma,Bustani ya Ruhila na vivutio vingine.

Kiwanja  cha ndege cha Songea kipo daraja la tatu ambacho kinatoa huduma ya usafiri wa anga mara tatu kwa wiki kati ya Songea na Dar – es salaam ambao unafanywa kupitia ATCL.

Amesema utekelezaji wa mradi huo  umekamilika kwa asilimia 100 na Mkandarasi yupo kwenye kipindi cha uangalizi wa mradi kabla ya kukabidhi rasmi serikalini.

Kiwanja hicho ni mojawapo ya viwanja vya ndege 58 vinavyosimamiwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kwa niaba ya Serikali.Kiwanja cha Ndege Songea kilijengwa mwaka 1974 hadi 1980 kikiwa ambacho kiliwezesha kutua na kurukia ndege kwa kiwango cha changarawe.

Imeandikwa na Farida Baruti kutoka Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • BODI ya kwanza ya maji yazinduliwa Tunduru

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.