MAKABIDHIANO maalum ya Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoa wa Ruvuma kwenda Mkoa wa Njombe mbele ya Kiongozi wa Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru 2021 yamefanyika katika kijiji cha Mavanga wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Balozi Wilbert Ibuge alitoa salama maalum baada ya Mwenge wa Uhuru kukamilisha ziara mkoani Ruvuma iliyoanzia Septemba pili hadi Septemba sita.TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=60NBtpp6RNM&t=14s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.