Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amekagua ukarabati wa uwanja wa ndege wa Songea ambao ujenzi wake umefikia zaidi ya asilimia 60 ambapo ameahidi kati ya Septemba 10 hadi 15 ndege za serikali aina ya bombadier itaanza kutua katika uwanja huo na hivyo kumaliza kero ya usafiri na usafirishaji wa njia ya anga kwa wananchi wa Mkoa wa Ruvuma ambao wamekuwa wanaingia gharama kubwa kusafiri kwa ndege kwa nauli ya shilingi 500,000 hivyo kwenda na kurudi wanahitajika kulipa zaidi ya shilingi milioni moja. TAZAMA HABARI ZAIDI HAPA https://www.youtube.com/watch?v=xHm3-70ggXw&t=158s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.