Serikali imetoa zaidi ya shilingi milioni 540 kujenga sekondari mpya ya mfano Manispaa ya Songea mkoani Ruvumasekondari hii iliyojengwa eneo la Mshangano ni miongoni mwa shule mpya za sekondari 11 zilizojengwa mkoani Ruvuma kupitia Program ya Uboreshaji elimu ya sekondari nchini (SEQUIP) ambapo katika Mkoa wa Ruvuma serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetoa zaidi ya shilingi bilioni 7.7 kujenga shule hizo mpya
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.