SEKONDARI TATU ZA MFANO TUNDURU ZAFUNGULIWARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi bilioni 1.4 kujenga sekondari mpya tatu katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma.Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Chiza Marando amezitaja shule hizo kuwa zimejengwa katika kata za Nakayaya,Majimaji na Lukumbule na kwamba kila shule imegharimu shilingi milioni 470.Amesema shule hizo zimesajiriwa na kuanza kuchukua wanafunzi .
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.