Muonekano kutoka juu wa shule ya sekondari ya wasichana ya Dkt Samia Suluhu Hassan iliyojengwa wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma kupitia Program ya Uboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) ambapo serikali imetoa shilingi bilioni nne kutekeleza mradi huo.
Sekondari hiyo yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 1000 imeanza kuchukua wanafunzi wa kidato kwa kwanza na cha tano
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.