SERIKALI kupitia fedha za UVIKO imetoa shilingi milioni 200 katika shule ya sekondari ya Maposeni iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma kwa ajili ya ujenzi wa vyumba kumi vya madarasa. na ununuzi wa meza na madawati 80 kwa kila darasa.TAZAMA zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=ES3RbQg70HE
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.