Sekretarieti ya Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Jumanne Mwankhoo imeendelea kukagua miradi ya maendeleo Wilaya ya Tunduru ambapo ukaguzi huo umelazimika kufanyika hadi saa moja usiku.
Hapa ni katika mradi wa shule mpya ya sekondari Kata ya Tuwemacho ambapo serikali kupitia program ya SEQIUP I imetoa zaidi ya shilingi milioni 560 kujenga sekondari hiyo.
Sekretarieti imeagiza kuongeza kasi ya kukamilisha mradi huo ambao unatakiwa kukamilika Novemba 30 mwaka huu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.