• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

SEKTA ya Barabara Ruvuma yatengewa shilingi bilioni 46.35

Imewekwa kuanzia tarehe: January 4th, 2023

SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetenga shilingi bilioni 46.35 kwa ajili ya sekta ya barabara mkoani Ruvuma .

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema fedha hizo zimetengwa katika bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwamba kati ya fedha hizo zilizopokelewa hadi sasa ni shilingi bilioni 14.02 sawa na asilimia 30.43.

Hata hivyo amesema Wakala wa Barabara TANROADS katika bajeti hiyo wametengewa shilingi bilioni 22.588 ambapo hadi sasa wamepokea shilingi bilioni 7.17 na Wakala wa Barabara Vijijini na mijini (TARURA) wametengewa shilingi bilioni 23.76 na wamepokea shilingi bilioni 6.85 sawa na asilimia 29.

“Tangu serikali ya Awamu ya Sita iingie madarakani tumeshuhudia namna ambavyo Mkoa wetu wa Ruvuma unavyonufaika katika sekta ya barabara,kwa sababu serikali imekuwa inatenga fedha za kutosha katika sekta ya barabara’’,alisisitiza RC Thomas.

Mkuu wa Mkoa amemshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha mpango wa utekelezaji wa maendeleo ya barabara ambapo wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma zimeunganishwa kwa barabara za lami na hivi sasa uunganishaji wa barabara za lami ndani ya wilaya unaendelea.

Kwa upande wake Meneja wa TANROADS Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Ephatar Mlavi amesema serikali inatarajia kuanza Ujenzi wa Barabara ya Songea – Makambako kwa kiwango cha lami na sehemu ya Songea–Lutukira ikujumuisha na sehemu ya Mtwara korido yenye urefu wa kilometa 111.


Amesema Serikali tayari imeshaingia makubaliano na Mfadhili Benki ya Dunia na hivi sasa hatua mradi upo katika hatua za awali za manunuzi.


“Mradi huu utahusisha ujenzi wa kilometa 111 za lami ambazo zitajumuisha kilometa 14 za Songea bypass (Mtwara Corridor) na Songea–Lutukira kilometa 97’’,alisema Mhandisi Mlavi.


Kwa upande wake Meneja wa Mkoa wa Barabara za vijijini na mijini (TARURA) Mhandisi Wahabu Nyamzungu ameutaja mtandao wa barabara Mkoa wa Ruvuma una mtandao wa barabara zenye urefu wa kilometa7,146.22 ukijumuisha barabara za lami,changarawe na udongo.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.