Muonekano wa baadhi ya majengo ya hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Songea iliyojengwa katika kijiji cha Mpitimbi.Hospitali hii imekuwa kimbilio sio tu la wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea bali pia baadhi ya wananchi wa nchi jirani ya Msumbiji wanafika kupata huduma katika hospitali hii
Baadhi ya majengo katika hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mpitimbi Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.