MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amekagua mradi wa barabara ya kutoka Matomondo hadi Mlale Halmashauri ya Wilaya ya Songea ambapo serikali imedhamiria kutekeleza mradi huo wa barabara yenye urefu wa kilometa 23 katika kiwango cha lami.Tayari serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni nne kuanzia kutekeleza mradi huokwa kuanzia kilometa tatu zinawekwa lami na kilolemta zinazobakiwa zinawekwa changarawe.
Rc Ibuge amemwagiza Mkandarasi kuhakikisha kuwa anatekeleza mradi huo ndani ya mkataba ili wananchi wanaotumia barabara hiyo wasiendelee kupata kero ya usafiri na usafirishaji hasa wakati wa masika.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.