Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr.Luois Chomboko amesema serikali imetoa shilingi bilioni 2.9 kupitia ruzuku kununua dawa na vifaa tiba katika kipindi cha kuanzia Julai 2023 hadi sasa katika Mkoa wa Ruvuma.
Chomboko ametoa taarifa hiyo wakati anazungumza kwenye hafla ya mapokezi ya vifaa tiba vilivyotolewa na Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kwa ajili ya vituo 18 vya kutolea huduma za afya mkoani Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.