Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt.John Magufuli imetoa zaidi ya shilingi bilioni 3.7 kwa ajili ya kukarabati sekondari kongwe nne zilizopo mkoani Ruvuma.Majaliwa ameyasema hayo baada ya kukagua ukarabati wa sekondari kongwe ya Tunduru ambayo ilijengwa mwaka 1978.SOMA HABARI KWA KINA HAPAhttps://www.youtube.com/watch?v=uwA2UgQAl4s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.