Serikali imetoa kiasi cha shilingi milioni 50 ili kuunga mkono juhudi za Wananchi wa Kijiji cha Mahande, kilichopo Halmashauri ya Mji wa Mbinga kwa kujenga zahanati ambayo kukamilika kwake itasaidia kupunguza umbali wa kufuata matibabu na kuokoa vifo vya mama na mtoto
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.