Serikali imetoa shilingi milioni 90 kwa ajili ya kukarabati madarasa sita katika shule ya Msingi Ifinga iliyopo katika Kata ya Matumbi Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komred Oddo Mwisho imekagua mradi huo na kuagiza mradi ukamilike kwa wakati ili uanze kutoa huduma kwa wanafunzi
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.