Pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akisalimiana na kuzungumza na viongozi mbalimbali wa vyama vya kisiasa waliojitokeza katika zoezi la kujiandikisha katika daftari la mpiga kura katika Mtaa wa Mahenge Kata ya Mjini Manispaa ya Songea.
Lengo la tukio hilo muhimu ni wananchi kujiandikisha katika daftari la mpiga kura katika zoezi linalofanyika kwa siku kumi kuanzia Oktoba 11 hadi 20 mwaka huu
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.