Jengo ipya la Utawala, Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma linatarajia kuanza kutumika rasmi tarehe 02/05/ 2023.
Hayo yamesemwa naKaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Ephrem Kawonga baada ya Makabidhiano rasmi ya jengo kutoka kwa SUMA JKT ambao wamekamilisha ujenzi wa mradi huo ambao serikali imetoa jumla ya shilingi bilioni 2.8 kutekeleza mradi huo.
Wananchi wa Wilaya ya Nyasa sasa wataanza kupata huduma kupitia jengo bora lenye miundombinu ya kuvutia
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.