Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ametoa wito kwa Taasisi mbalimbali za utojaji haki mkoani ruvuma kushirikiana ili kuleta ustwai mzuri wa utoaji haki katika jamii ili iweze kuleta usawa na ustawi katika jamii kwani itapunguza malalamiko
Kanali Laban Thomas ameyasema hayo kwenye maadhimisho ya kilele cha siku ya sheria nchini ambayo mkoani Ruvuma yamefanyika kwenye viwanja vya Mahakama Kuu,Kanda ya Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.