Tamasha la utalii Mkoa wa Ruvuma linatarajia kufanyika kwa siku tatu kuanzia Desemba 18 hadi 20 mwaka huu mjini Mbambabay wilayani Nyasa.
Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma Stephen Ndaki amesema tamasha hilo limelenga kutangaza utamaduni wa makabila ya Mkoa a Ruvuma na fukwe za ziwa Nyasa.
Mgeni rasmi katika tamasha hilo anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme.
Kaulimbiu ya tamasha la utalii mwaka huu ni twende fukwe za Nyasa
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.