WAKALA wa barabara mijini na Vijijini (TARURA katika Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma imeanza kufanya matengenezo ya barabara za Jamii katika Kijiji cha Lilondo Kata ya Wino Halmashauri ya Madaba ambazo zimewekwa kwenye mapango wa matengenezo kupitia mpango wa TASAF katika mwaka 2022/2023.
Mhandisi wa TARURA Wilaya ya Songea Frank Chingowe amekagua Barabara hizo na kutoa maelekezo kwa Fundi Kiongozi wa Mradi huo Qwilino Mgaya kuwasimamIA mafundi wanaotengeneza barabara hizo ili mradi ukamilike kwa wakati na kwa viwango.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.