• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

TASAF Kuboresha huduma za Elimu,Afya na Maji

Imewekwa kuanzia tarehe: September 6th, 2022

 Jumla ya Kaya 67,780 na vijiji 685 vinanufaika na Utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF) Mkoa wa Ruvuma.

Hayo amesema Mratibu wa TASAF Mkoa wa Ruvuma Xsaveria Mlimira ofisini kwake kuwa Mpango huo wa awamu ya tatu kipindi cha pili 2020-2023 unatekelezwa katika Halmashauri zote nane.

Amesema utekelezaji wa kipindi hiki unatekelezwa katika Vijiji,Mitaa yote ambayo haikufikiwa katika utekelezaji wa kipindi cha kwanza ikiwa na lengo kuu la kuwezesha Kaya maskini kuongeza kipato pamoja na fursa.

Mlimira amesema Mpango wa TASAF  awamu ya tatu kipindi cha pili unasehemu kuu nne za utekelezaji kwa kutoa ruzuku kwa Kaya Maskini hususani kaya zenye watoto ili ziweze kupata lishe bora pamoja na huduma za Elimu na Afya.

Kutoa ajira za muda kwa Kaya maskini zenye watu wenye uwezo wa kufanya kazi,kuongeza kipato kwa Kaya kupitia Vikundi vya Uwekezaji,kuwekeza kwenye shughili za uchumi ili kuboresha maisha.

Mratibu amesema malengo hayo ni pamoja na kujenga uwezo katika ngazi  zote za utekelezaji kupitia mafunzo na utekelezaji pamoja na kuboresha miundombinu  ya sekta ya Elimu Maji na Afya.

Hata hivyo Mratibu amesema msisitizo wa kipindi cha pili utalenga kuwezesha Kaya maskini  kufanya Kazi na kuwezesha kipato na kuongeza rasilimali zalishi pamoja na kuongeza vitega uchumi.

Kuwekeza kwa Watoto ilikuleta matokeo chanya yatakayodumu kwa mda mrefu,kuboresha huduma za upatikanaji wa Maji,Afya na Elimu pamoja na kukuza uchumi wa eneo linalofanyika utekelezaji kutokana na matokeo ya mpango.

Imeandaliwa na Aneth Ndonde

Kutoka kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma

Septemba 6,2022.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.