Wanafunzi wa kidato cha kwanza wa sekondari mpya ya Kata ya Tinginya wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wakiwa darasani.Serikali imetoa shilingi milioni 560 kupitia Program ya SEQUIP ambapo sekondari hiyo imeanza Januari 2024.
Kabla ya kuanza kwa sekondari hii wanafunzi walisafiri umbali wa kilometa 70 kila siku kufuata sekondari ya Nakapanya
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.