TUME ya Ushindani FCC iliyopo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara imemkabidhi mabari 200 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwa ajili ya kusaidia miradi ya ujenzi ya maendeleo katika Halmashauri ya Nyasa.Baada ya kukabidhiwa msaada huo katika hafla iliyofanyika katika ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga,Mkuu wa Mkoa pia alikabidhi kwa Mbunge wa Jimbo la Nyasa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhandisi Stella Manyanya.TAZAMA ZAIDI HAPA https://www.youtube.com/watch?v=-T03YqeDAUM&t=11s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.