KAMISHNA wa Aridhi Msaidizi Mkoa wa Ruvuma Idefonce Ndemela amesema ofisi ya Aridihi Mkoa wameyapokea maagizo na meelekezo ya Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma kuwa maafisa aridhi waache kuisubiri migogoro
“Maelekezo haya tumeyachukua lakini kabla yake mimi binafsi nilishatembelea Halmashauri zote kwa lengo la kusikiliza kero mbalimbali za Wananchi ambapo kero zingine ukiwasililiza wala sio kero ni kwamba tu mtu ajui haki zake na ukimuelesha anaelewa”
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.